ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 3, 2014

HAIJAWAI KUTOKEA HIVYO NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE MCHEZO WA REAL MADRID NA MANCHESTER HUKO DETROIT

Michigan Stadium mchezo kati ya Real Madrid na Manchester United ulivunja record kwa kujaa haijawai kutoka Marekani watu kujaa pomoni kihasi hiki kuangalia mpira wa miguu. Inasemekana watu 109,000 kutoka sehemu mbali mbali za Marekani walijitokeza uwanjani kushuudia mpambano huo wa Guinness International Cup kati ya timu hizo zenye wapenzi lukuki duniani kote na Manchester kuibuka na ushindi mnono wa bao 3 kwa 1.
Michigan Stadium hiyo ilikuwa siyo mchezo 

No comments: