ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 3, 2014

LINAH FUNGUKA KWENDA BBA NA JUU YA NDOA YA KIMYAIMYA YA AMINI

Mwimbaji wa kike aliyepiga hatua kubwa hivi
karibuni na kusainiwa na kampuni ya kubwa ya
Afrika Kusini NFZ, Linah alifanya mahojiano
exclusively na tovuti ya Times Fm na kufunguka
zaidi kuhusu mambo muhimu katika muziki wake.
Linah alizungumzia masuala muhimu yanayohusu
muziki wake. Jinsi alivyofanya kazi na kundi la
Uhuru ‘Ole Themba’ na alivyojipanga kulikabili
soko la kimataifa.
Mwimbaji huyo alieleza pia mtazamo wake kwa
ushirikiano kati ya wasanii wa kike na sababu
inayowafanya kutokuwa pamoja na kusapotiana
pamoja na mambo mengine.
Ameeleza pia kama ana mpango wa kwenda Big
Brother na mtu anaempendekeza zaidi kwenda
katika jumba hilo, na kuweka wazi reaction yake
baada ya kupata taarifa kuwa aliyewahi kuwa
mpenzi wake Amini amefunga ndoa kimyakimya.
Isikilize hapa utapata taarifa kiundani kuhusu
yote anayoyazungumza.
 CREDIT:THECHOICE

No comments: