ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 18, 2014

MAMA NASIBU SAREVA AWASILI MINNESOTA, NCHINI MAREKANI.

Nasibu Sareva wa Minnesota akimpokea mama yake mzazi Mrs Sareva aliyewasili Minnesota kwa ajili kumwakua mwanae, ndugu jamaa na marafiki "Shikamoo mama karibu sana mama pole na safari" ndio yaliyokuwa maneno ya Nasibu mara tu alipomuaona mama yake
Juu na chini ni mapokezi ya mama yake Nasibu Sareva wa Minnesota, nchini Marekani.

1 comment:

Anonymous said...

Hongera mammy kwa safari,nakutakia mapumziko mema.Mama Kareem.