ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 6, 2014

MKE NA MUME WAKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

Pichani juu na chini ni Gari aina ya Toyota Corolla yenye namba za usajili T.589 AZS likiwa limebeba magunia ya madawa ya kulevya aina ya bhangi mara baada ya kukamatwa eneo la Sanawari jijini Arusha na askari wa kitengo cha kuzuia Madawa ya Kulevya mkoani humo.
(Picha na woinde shizza,Arusha)… 

No comments: