ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 8, 2014

SIKU RAIS UHURU KENYATTA ALIVYOONGEA NA WAKENYA WAISHIO NCHINI MAREKANI


 Denzel Musumba akiweka maswala sawa kabla ya kuanza kuwatangazia watazamaji waliokuwa wakiona matukio LIVE kupitia Ustream siku ya Jumatano Aug 6, 2014 kutoka jijini Washington, DC katika hoteli ya Marriott.
 Ulinzi ulikuwa mkali kila mtu alikaguliwa kabla ya kuingia ukumbini.
 Walinzi wa kifanyakazi yao wakihakikisha ukumbini ni salama.
Ukaguzi ukiendelea
Rais Uhuru Kenyatta akiongea na Wakenya waishio nchini Marekani siku ya Jumatano Aug 6, 2014 jijini Washington, DC katika hoteli ya Marriott.
 Wakenya waishio nchini Marekani wakisikiliza Rais Uhuru Kenyatta.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: