Advertisements

Saturday, August 2, 2014

UKODAK MOMENT WA MISSY TEMEKE KWENYE SIKUKUU YA EID

 Missy Temeke akiwa na shosti wake Salma Londa wakipata ukodak moment katika moja mambo Missy T aliyofanya kwenye katika kusherehekea sikukuu ya Eid.
 Missy Temeke akikumbuka enzi hizo alizokuwa Miss Temeke akiwa katika pozi kali.
 Missy Temeke ambaye pia ni mkurugenzi wa KWETU Fashion iliyopo Slver Spring, Maryland nchini Marekani kaipata ukodak moment kama moja ya kusherehekea sikukuu ya Eid akiwa kwenye clib yake Silver Spring, Maryland.
 Missy Temeke akipata ukodak moment na mwanae.

 Missy Temeke na mwanae kwenye ukodak moment wakiwa mlangoni.
Missy Temeke akipata ukodak Moment nje ya clib yake.