ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 4, 2014

VIDEO QUEEN WA TANZANIA AGNES MASOGANGE SASA KUJULIKANA KWA JINA LA "THANDO"

Agnes Masogange sasa kujulikana kwa jina la Thando ni baada ya kubadirisha uraia na kuwa Msouth Africa. Habari ndiyo hii kwaiyo sasa makazi yake ni South Africa siyo Tanzania tena ametirirka kupitia kursa ya Instagram hapa chini ni passport yake ya kisouth.

1 comment:

Anonymous said...

Eeh, sikuyajua kuwa ndivyo yalivyo! Hivi kuwa raia wa SA hivi kumbe dili pia? Nilifikia ni sisi tunang'ang'ana nchi za Ma West huku tukisarandia mikoba ya Kimarekani, UK, Austarlia, Scanavian countries tu..Sikujua kama najua na nataka kujua zaidi! teh teh