ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 19, 2014

BAADHI YA MAKABILA YA TANZANIA NA TABIA ZA NDANI JITIRIRISHE HAPA




Jitirirshe hapa chini juu ya tabia za baadhi ya makabila kama ukioa au kuolewa.

2 comments:

Anonymous said...

waongo si kweli maneno haya.you are over generalizing watu wote si sawa hata ndani ya familia mnazaliwa wote ndugu kwa mama na baba na mnakuwa na tabia zenu tafauti.

ila kwa mapishi watanga hodari but wazanzibari ndo wenyewe labda hujavila vya kizanzibari na kufukiziwa udi nje na ndani ya nyumba na kuvaliwa nganga na kulishwa huku unachuliwa chuliwa mabega kikushuke kwa raha zako.

utapagawa mkuu ukimpata yule mzanzibari anaye aliye lelewa akaleleka na anayaweza aliye shiba maziwa ya mamayeee,utajiona uko juu na hu ulimwengu wote wako.

jaribu kamtafute mzenji akupikiye mahanjumati mkuu hutomuacha mpaka kufaaa.

Anonymous said...

wahinindi wanajuwa kubembeleza lakini mapenzi hawana because hawaji kukatika kama wanawake wa Kiswahili.