Advertisements

Tuesday, September 9, 2014

FUJO ZILIZOLETWA KWENYE MKUTANO MKUU DMV

Habari zilizosambaa  ni kwamba  Wanajumuiya wanapinga kitendo kibaya kilichotokea kutokana na Wanajumiya watano walioleta fujo kwenye mkutano na kuhatarisha usalama wa Watanzania: Wana Jumuiya Hao wakiongozwa na Liberatus Mwangombe walikuwa ni Dotto Malongo, Salomon Chris, Salma Moshi na Ludego Muhagama. Mapendekezo kadhaa yalipendekezwa na Wanachama ikiwemo na Kuwasimimisha au kuwaonda uwanachama hawa waliohusika na kitendo hichi cha Aibu.
    Pamoja na kufaili Case ya Kuishitaka Jumuiya inaonekana Liberatus Mwangome hataki kusubiri Mahakama ifuate mkondo wake. 

   Watu hawa watano tu(5) wanajumuiya walikuja kwenye mkutano na kufanya fujo kwa sababu zao binafsi na ililazimika kutumia vyombo vya dola (polisi) Kuwaondoa kwenye Mkutano huo. Uongozi ulisema hautovumilia kumchukulia hatua ya kisheria mtu yeyote ya yeyote atakayehatarisha usalama wa Wanajumuiya kwenye kikao chochote au shughuli zozote za jumuiya na Uongozi uliwashukuru Wanajumuiya kuonyesha moyo wa Uzalendo na kukemea tabia hii katika Jumuiya yetu.
Uongozi Mpya na Baadhi ya watanzania walioudhuria
Liberatus Mwangombe Akibishana na Bodi Memba



Polisi Wakiwafukuza Waliofanya fujo kuondoka kwenye eneo Hilo





14 comments:

Anonymous said...

Ngoja nieleze kilichojiri nilikuwepo kwenye mkutano... Wamekuja wakati mkutano unaendelea. Solomon asivyokuwa na staha wala heshima akamkatiza mweka Hazina wa zamani Malassy kutoa ripoti ya fedha ya awamu iliyopita kutokana na swali lililokuwa limeulizwa na mmoja wa wanajumuiya. Na Swali la Solomon liliku zuri na Rais ambaye ni mwenyekiti wa Mkutano huu akamjibu kistaarabu kuwa swali lako tumelisikia LAKINI tutalijibu kwenye mengineyo sababu mkutano huu una agenda na agenda hii lazima iheshimiwe na kufuatwa.. LOOOOOOOOOOOOO Akaanza kupayuka kama hayawani kuwa lazima ajibiwe kwa wakati ule ule>>> na wenzake nao wakaanza payuka na mabango yakapaa juu. Sote tukaanza kuwajibu hivi nyinyi mnataka nini??? si mmeambiwa mtajibiwa kwa nini msifuate utaratibu mlioukuta??? Tafrani ikatokea na kila mtu akawa sasa anazungumza kwa sauti ya juu wakaombwa na Bodi wakakaidi hivyo kilichobaki ni kuwaitia vyombo vya dola viwashughulikie na polisi wakaja wakazolewa nje tukafunga milango na tukaendelea na mkutano wetu. Ilikuwa aibu aibu maana tulikuwa na mgeni sista Mariastella ilibidi tumwombe msamaha na kumwambia kuwa sisi hapa ni wastaarabu na si kama ulivyoona hawa watu 5 walivyokuwa wakizungumza kwa jazba...
Swali la Solomon ni uhalali wa mkutano huu kuwa watu ni wachache amesahau kuwa wale watu wote zaidi ya mia tano waliojiandikisha kupiga kura walilipa $25; Reg Fees $15 and 1 month ada for $10 hivyo basi TECHNICALLY sasa hivi si wanachama hai maana uanachama wao umeexpire incluDING some of these 5 guys.. Hawa wanaoonekana ndiyo wanachama hai wamelipia ada zao za mwaka na wanauchungu na hii jumuiya. Angesubiri muda alioambiwa angepata majibu maana ningemwuliza ataje wanachama anaowajua yeye walio active na hawapo pale ndani sidhani kama angeweza kuja hata na majina kumi..

VIONGOZI katiba yetu ipo wazi hawa wanachama wanaangukia kwenye kundi lile lililotajwa kwenye katiba yetu kuwa mkosesha amani na mchochezi HAFAI kuwa mwanachama wa Jumuiya yetu. FUKUZA HII KITU

Anonymous said...

Kwanini hizo fujo zilizofanywa kwenye mkutano hazisisemwi ili kunufaisha audience ambayo haikuwepo kwenye mkutano huo? Tunachoona ni watu wamebeba mabongo, kitu ambacho hakina sifa za fujo. Ni njia inayokubalika kwa protestors katika jamii ya kidemokrasia. Tuambieni hizo fujo zilizofanyika. Otherwise, inaonekana kuwa ni muendelezo wa tabia zilezile mbovu za mifumo isiyokuwa ya kidemokrasia kama ilivyo kwa nchi nyingi za kiafrica.

Anonymous said...

kimewaka metro atc metro jamani mwaka huu mpaka mtu atatolewa roho yange ndo watu wafurahi wapate kupumua.
je kujiuliza okay mnapigania haki yenu okay sasa mkiipata iweje?
mimi siko upande wowote ule ila tujiulize watu hawakutaki,hawakujui ulikuwa huna uanachama hai mpaka siku ya kugombea uongozi sasa unangangania nini kutafuta huu uongozi?
msomi unapigana na wasiosoma unajishusha hadhi yako ya kisomi japo kuwa unapigania hiyo haki unayosema ili iweje na ukipata kuwa kiongozi.

au kwa vile ni wa dini Fulani ndo maana nimekukaa umelivaa shingoni halikushuki.

aibu iliyoje juu ya usomi wenu wote huu,mtu msomi kweli anakuwa hivi jamani.

au labda tuambiyeni kuna tija/manufaa katika huu uongozi ndo maana mpaka mtu atolewe roho yake mbichi.

Anonymous said...

kimewaka metro atc metro jamani mwaka huu mpaka mtu atatolewa roho yange ndo watu wafurahi wapate kupumua.
je kujiuliza okay mnapigania haki yenu okay sasa mkiipata iweje?
mimi siko upande wowote ule ila tujiulize watu hawakutaki,hawakujui ulikuwa huna uanachama hai mpaka siku ya kugombea uongozi sasa unangangania nini kutafuta huu uongozi?
msomi unapigana na wasiosoma unajishusha hadhi yako ya kisomi japo kuwa unapigania hiyo haki unayosema ili iweje na ukipata kuwa kiongozi.

au kwa vile ni wa dini Fulani ndo maana nimekukaa umelivaa shingoni halikushuki.

aibu iliyoje juu ya usomi wenu wote huu,mtu msomi kweli anakuwa hivi jamani.

au labda tuambiyeni kuna tija/manufaa katika huu uongozi ndo maana mpaka mtu atolewe roho yake mbichi.

Anonymous said...

Wabongo hamna kazi.

Anonymous said...

THESE ARE SHAMELESS AND DESPERATE LOSERS, WHO ARE WILLING TO GO ANY EXTENT TO ATTAIN THEIR SELFISH AMBITIONS! THANK GOD THAT NOW WE CAN SEE, SUPPOSEDLY PRESIDENT LIBE AND HIS TEAM! THEY ARE NOTHING, BUT A TEAM OF LUNATICS!
WE ARE VERY LUCKY, THEIR LOSS IS COMMUNITY'S VICTORY!

Anonymous said...

1.4 [D] The Association shall have and maintain a list of etiquettes, and the Board shall have power to suspend a member from his / her membership, on the grounds that his / her conduct is against the etiquettes and has adversely affected the reputation and / or dignity of the Association, and / or she / he has contravened any of the provisions of the Constitution of the Association.
[E] (ii) If Simple Majority of paid up members who participate in the voting exercise, shall resolve that such a member should be expelled on the grounds that his / her conduct has adversely affected the reputation and / or dignity of the Association, or that she / he has contravened any of the provisions of the Constitution of the Association;

Unknown said...

Katiba iko wazi kwamba utakuwa inactive kama hutalipia ada yako for 3 months kwa hiyo technically kama kuna mtu yeyote alipiga kura August 9th 2014 as of now bado ni active member period.

Anonymous said...

Maelezo ya picha na story hapo juu jaziendani na kama mtu ukitishia amani hapa marekani ni lazima uwe arrested, otherwise ku protest is a 1st amendment na hata ukienda white house pale nje watu wapo wamebeba mabango na hawashikwi

Anonymous said...

Kama ni Democracy,kwa nini mliondolewa na Polisi?

Anonymous said...

There is a need to form a unity government if it was a close call election. Thus, will calm matters down.

Anonymous said...

Kama vikao vyenu vya jamii yenu wenyewe vinawashinda mpaka mnaitiana police hii ni Shida.Nashindwa kuelewa sasa huo umoja wa watanzania unapatikanaje kwa staili hii.Imebakia kupelekana kufungana jela kwa mambo ya jumuiya ni aibu.Tangia maswala ya uchaguzi kuanza kumekuwa na migawanyiko,chuki na malumbano yasiyoisha.Haya maswala tunayofanya tukae tukijua yanaharibu sana profile yetu kama jamii ya watanzania kwenye nchi hii,na gharama ipo kwasbb record zinabaki.Sijaelewa bado ubalozi una nafasi gani katika hizi jumuiya kusaidia maswala ya kiutawala.Inasikitisha kuona jumuiya inashindwa kuhandle matatizo yake ya ndani ya vikao mpaka kuita vyombo vya dola.

Anonymous said...

mbona comment zinginewe unazizima mkuu,mambo gani haya,kipi cha ajabu unachokificha kutuzimia comment zetu basi ziba na watu wasitoe comment.si vizuri hivyo lucas dj

Anonymous said...

Kwani hao walioshindwa Kama hawajalizika si waanzishe jumuia academia basi wale wafuwasiwao waliowapigia ndio watakuwa wanachama wao mbona Kenya wanajumuia zaidi ya moja au akaita Tanganyika au mbeya au upanga au mansese au tz USA atakavyo selazake mbona zuri tu za mikopo tutakuja kukopa na kuwa wanachama hai