Advertisements

Friday, September 12, 2014

STEVE NYERERE AJIUZULU URAIS BONGO MOVIE UNITY

Aliyekuwa Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve Nyerere.
Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere' ametangaza kujiuzulu cheo hicho kupitia ukurasa wake wa instagram. Amedai kuna mpango mbaya dhidi yake hivyo akaona bora ajiengue pasipo kufafanua…Nyatunyatu kuwaletea zaidi kaa hapo hapo Vijimambo ndiyo habari ya mjini.
Credit:GPL

1 comment:

Anonymous said...

bora uminyatua sasa uwe manager wa madame because martin kaachia ngazi shika wewe hiyo nafasi ule pesa kwa raha zako.