ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 14, 2014

UNAPOENDA UGENINI NI LAZIMA UKUBALI NA KUHESHIMU MILA ZA WENYEJI WAKO

Waswahili tuna usemi wetu wa "Ukienda Roma basi nawe uwe kama Mrumi" 
Usemi mweingine ni ule "Ukienda katika nchi ya wenye chongo nawe funga lako jicho" yaani jifanye mwenye chongo.
Sasa kuhusu mwaswala ya Kiweo au mapocho pocho waswahili wenzetu vipi?
tukienda ugenini? ua ndio tunapenda kuvuka mto wa maji kwa kutumia mgongo wa mamba ! na hapo hapo tunamtukana Mamba !?

No comments: