Ibada ya kumbukumbu ya maisha ya marehemu Re. Dr. Edward Mmanywa iliyofanyika siku ya Jumapili Octoba 26, 2014 Winston Salem, North Carolina nchini Marekani na kuhudhuria na ndugu jamaa na marafiki.
Mchungaji Dupe Akinola akiongoza ibada iliyofanyika katika kanisa la Christ Center Assembly siku ya Jumapili Octoba 26, 2014.
Mchungaji Yinka Akinola akitoa neno la kuwafariji wafiwa katika kanisa la Christ Center Assembly ilikofanyika ibada ya kumbukumbu ya maisha ya marehemu Rev. Dr. Edward Mmanya siku ya Jumapili Oct 26, 2014 Winston Salem, North Carolina nchini Marekani.
Lucas Mmanywa mtoto wa pili wa Rev. Edward Mmanywa akisoma wasifu wa marehemu.
Wema mtoto wa nne wa Rev. Dr. Edward Mmanywa akimuelezea baba yake.
Mke wa Lucas Mmanywa nae akimuelezea baba mkwe wake.
Lucas Shalua amemoa Dorothy ambaye ni mtoto wa tano wa Rev. Edward Mmanywa akimuelezea baba mkwe wake.
Grace Gwajima mke wa mchungaji Gwajima akijitambulisha kwa ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria Ibada ya kumbukumbu ya maisha ya Rev. Dr. Edward Mmanywa.
Wanafamilia wakiimba nyimbo alizokua akizipenda kuimba marehemu.
Mchungaji Yinka Akinola akiiombea familia ya marehemu.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment