Kaci Hickox, ambaye hadi kufikia sasa amekuwa akishirikiana na maafisa wa afya wa jimbo la Maine, anasema kuwa yeye ni mzima kabisa na hana dalili zo zote za maradhi hayo.
Hali yake imemulika tofauti kubwa zilizopo kati ya idara za afya za Serikali ya Taifa na Serikali za majimbo katika kukabiliana na Ebola.
Wanasayansi wanaoshauri Serikali kuu juu ya Ebola wanasema kuwa hakuna haya ya kutumia karantini kama hatua ya kuzuia ugonjwa huo kusambaa.
Hata hivyo maafisa wa afya wa jimbo lake la Maine wametishia kwenda mahakamani kupata idhini ya kuwatumia wanajeshi kuhakikisha haondoki nyumbani kwake iwapo atatisha kufanya hivyo. BBC
1 comment:
Nampa tano huyu nurse si sisi watu weusi thubutu ubishe sharia hii utakiona cha mtema kuni.mzungu hababaishwi ovyo ovyoo na kudanganywa ovyo ovyoo na leo si tumemuona amedunda barabarani na baiskeli yake na boyfriend wake.
imenifurahisha sana hakuna cha ebola wala nini kwa muafrica na mtu mwenye ngozi nyeusi ndio ebola ipo si kwa wazungu wasomi kama huyu nurse.
you go girl, you are my heroen.
Post a Comment