Kijana anaetuhumiwa kumchinja mpenzi wake sababu ya wivu wa mapenzi akiwa amepandishwa katika gari la Polisi akipelekwa kituoni huku akitokwa na damu shingoni baada ya kujaribu kujiua kwa kutumia kisu
Mwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake leo jioni maeneo ya Manzese Friends Corner ukitolewa katika eneo la tukio
1 comment:
nini mapenzi?mapenzi mateso?mapenzi chuki?mapezi kulipiziana kisasi?mapenzi balaaa?mapenzi yanauwa?
jamani nini maana ya mapenzi?
inasikitisha kwa kweli kumuuwa mwenzako na wewe kutaka kujiuwa
Post a Comment