Chipukizu hao wakiwa kwenye mazoezi ya halaiki
Mshika bendera ya CCM kwenye kikosi cha Bendera cha Gwaride la Umoja wa Vijana wa CCM, Sharif Mohammed na wenzake wakipita kwa ukakamavu mbele ya jukwaa kuu wakati wa mazoezi ya mwisho ya gwaride na halaiki kwa ajili ya Kilala cha Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yanayofanyika kesho Kitaifa kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma
Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha mazoezi ya ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
Vijana wa Chipukizi wakionyesha ohodari wao wa mazoezi ya 'kikomandoo' wakati wa mazoezi yao ya mwisho ya paredi na halaiki kwa ajili ya kilele cha maadhimisho ya miaka 38 ya CCM kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
Mmoja wa Chipukizi wa CCM waliokuwa katika mazoezi hayo akisaidiwa baada ya kuanguka kutokana na mazoezi hayo ya mwisho kupamba moto. Alipata ahueni baada ya kupatiwa huduma ya kwanza.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mratibu wa Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emmanuel Nchimbi, walipokuwa wakikagua mazoezi ya vijana wa Chipukizi wa CCM ya paredi na halaiki kwa ajili ya Maadhimisho ya Kilele cha Miaka 38 ya CCM, yatakayofanyika Kitaifa kesho kwenye Uwanja wa majiMaji mjini Songea.
Vijana wa Chipukizi wa CCM waliopo katika mazoezi ya halaiki na paredi kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM mjini Songea, wakikipiga saluti wakati wa mazoezi ya mwisho leo kwenye uwanja wa Majimaji
Kijana wa Chipukizi wa CCM Mbaraka Ngonyani akionyesha umakini wake wakati akipiga saluti wakati wa mazoezi hayo ya mwisho leo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa UVCCM Sixtus Mapunda wakitazama mazoezi ya mwisho ya Chipukizi hao. Picha zote na Bashir Nkoromo
4 comments:
mmewakalisha juani bila ya kuwapa hata m juice au maziwa. Hao ni watoto jamani waoneeni huruma.
Mambo ya kikomunist haya nilifikiri TZ tumeshaachana nayo! Kwa nini watoto wadogo wapige gwaride na mifano ya silaha!Nafikiri hata Russia hawafanyi hivi tena. Haya ni mambo ya kuamini chama "kimoja" pekee na kiongozi wao ndio wa kuamininiwa na kufuatwa.! This shouldn't be a practice in a multi-party democracy.
Halafu wameshindwa hata kuhakikisha wanavaa viatu? Ndio watanunuliwa viatu kwa jili ya sherehe! Hao viongozi hapo 'pocket money' yao inatosha kuwanunulia wote hao viatu. Miaka 38!!
Time for change!
Watoto wengine hapo hata ndala tu hawana na jua kali lote hilo...wao wapo juu wanapiga makofi..hahaaa asante escrow
Washoneeni angalao hao wasichana nguo za kuwaficha sehemu zao nyeti. Wasirushe tu miguu juu.
Post a Comment