ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 12, 2015

HAPPY BIRTHDAY


Balozi Mwanaidi Maajar
Timu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa

1 comment:

Anonymous said...

mungu akubarik sana tena sana katika siku yako ya leo kwa kweli ulikuwa balozi imara na msikilivu si balozi rege rege na ulikuwa si muuga humuogopi mtu unatenda haki kwa wote.
nakukumbuka mpaka hii leo na natamani ningekujua zaidi balozi wangu.
mimi ni mtanzania mmoja wapo sitosahau kazi yako njema katika ubolozi wetu hapa Washington

mungu akubariki sana na kila la kheir na azidi kukupa maisha mema yenye furaha tele.

amen ya rabbi laalameen

happy birthday to you honorable balozi.