Karibu katika kipindi cha HUYU NA YULE ambapo wiki hii tumeongea na Dk Talib Ali
Yeye ni mwanzilishi wa Avatar Dental Care iliyopo Leesburg Virginia.
Ameeleza mengi kuhusu kazi zake na mikakati aliyonayo baadae Pia, ametoa punguzo la 50% kwa waTanzania watakaoenda kutibiwa kwake, pamoja na mpango wa malipo ya awamu kuwezesha watu kumudu gharama hizo
Karibu
Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza ProductionYeye ni mwanzilishi wa Avatar Dental Care iliyopo Leesburg Virginia.
Ameeleza mengi kuhusu kazi zake na mikakati aliyonayo baadae Pia, ametoa punguzo la 50% kwa waTanzania watakaoenda kutibiwa kwake, pamoja na mpango wa malipo ya awamu kuwezesha watu kumudu gharama hizo
Karibu
Kwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali wasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail.com

2 comments:
Dr. Talib is an awesome dentist, he has been attending my family for the past two years. From the time he was working for another company to this time that he has his own practice. Ninamshukuru sana na nimefurahi sana kwa mahojihano nae. Tafadhali Watanzania wa DMV tumuunge mkono MTanzania Mwenzetu.
nimependa sana hiki kipindi na huyu dokta jamani anaeleza vizuri mpaka raha si mchoyo kama sura yake,uzidishiwe..
Post a Comment