ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 22, 2015

MARTHA USO KWA USO NA MHE JOHN BOEHNER


Martha Amos Cherehani, akisalimiana na Speaker wa Bunge la Marekani, Mhe. John Boehner, siku ya Jumanne January 20, 2015 siku Rais Barack Obama alipotoa hotuba ya State Of The Union na Martha alikuwa mgeni mwaalikwa, kuwaakilisha wanafunzi wenzake kwenye mkutano huo wa 114 wa bunge la Marekani. Martha ni mtoto wa wanaDiaspora baba na mama Watanzania wanaoishi DMV. 

5 comments:

Anonymous said...

Mbona Martha last name yake shuleni ni tofauti na hapa.

Anonymous said...

Sasa akitumia jina lake la skuli, dunia itajuaje kama ni mtoto wa Amos Cherehani? Hujui kama hilo ni muhimu zaidi?

Anonymous said...

Hata akitumia jina tofauti shuleni, ila the bottom line ni kwamba ni mtoto wa Amos Cherehani. Way to go Martha na wazazi.

Anonymous said...

HIVI WATANZANIA MNAPENDA MAENDELEO KWELI KATI YA YOTE WEE UMEONA HILO JINA, SOOOOOOOO STUPID..

PONGEZI KWA MARTHAT FOR RESPRESENTING NA WAZAZI WALIOKULEA KUWA NA VIGEZO VYA KUWA MFANO KWA JAMII...

Anonymous said...

Tatizo watanzania wivu unawasumbua badala ya kumpongeza mtoto mimtu yakurupuka tu uwii. Tatizo nyota dogo ako na nyota yake ati hapo wataman angekuwa mwanao eeee . Congrats martha darling keep it up uendeleee kuwaacha watu wenye vijiba vya roho kazi kukurupuka bila kupiga mswaki wala kuosha uso