ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 9, 2015

Mkutano mkuu wa wanachama CCM DMV sasa kufanyika Jumapili

Ndugu wanachama
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Nawatangazia ya kuwa Kutakuwepo mkutano mkuu wa wanachama wote siku ya Jumapili Januari 11, 2015. Tumepata ukumbi Hampton Inn college park anuani ni 
9670 Baltimore avenue
College park, MD 20740. 
Kuanzia Saa 11 jioni.
Karibuni.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi 

2 comments:

Anonymous said...

Na sis UK Labor Party tawi la Ushirombo, tutakuwa na mkutano wetu mkuu hapo sokoni. Wote mnakaribishwa.

Anonymous said...

Tutabaki kuendelea kuwa taifa maskini..kwa mawazo kama haya..tunakuja kuanzisha matawi ya vyama huku bila sababu za msingi..badala ya kuwa pamoja towards tanzania.