Ndugu wanachama
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Nawatangazia ya kuwa Kutakuwepo mkutano mkuu wa wanachama wote siku ya Jumapili Januari 11, 2015. Tumepata ukumbi Hampton Inn college park anuani ni
9670 Baltimore avenue
College park, MD 20740.
Kuanzia Saa 11 jioni.
Karibuni.
Kuanzia Saa 11 jioni.
Karibuni.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
2 comments:
Na sis UK Labor Party tawi la Ushirombo, tutakuwa na mkutano wetu mkuu hapo sokoni. Wote mnakaribishwa.
Tutabaki kuendelea kuwa taifa maskini..kwa mawazo kama haya..tunakuja kuanzisha matawi ya vyama huku bila sababu za msingi..badala ya kuwa pamoja towards tanzania.
Post a Comment