Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania unapenda kuwatangazia watanzania wote wanaoishi maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia kuhusu Madarasa ya Kiswahili yatakayoanza rasmi tarehe 24 January, 2015.
White Oak Community Recreation Center,1700 April Lane,
Silver Spring, MD 20904
Kuanzia tarehe 24/1/2015 Saa 9 mchana – 11 Jioni kila Jumamosi
Kwa maelezo zaidi wasiliana na viongozi wafuatao:
Rais- Iddy Sandaly (301) 613-5165
Makamu wa Rais – Harriet Shangarai (240) 672-1788
Katibu – Saidi Mwamende (301) 996-4029
Naibu Katibu – Bernadeta Kaiza (240) 704-5891
Mweka Hazina – Jasmine Rubama (410) 371-9966
KISWAHILI NI KIUNGANISHI CHA WATANZANIA
No comments:
Post a Comment