Mwanamuziki maarufu nchini na sehemu nyingi za dunia – Diamond Platnumz ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada Wema Sepetu ameendelea kuuhakikishia ulimwengu kuwa, mpenzi wake wa sasa ZARI al-maarufu kama “The boss lady”, ni mama mtarajiwa aliyebeba ujauzito wa msanii huyo nguli nchini na kwamba hii sio project nyingine.
Huku akitumia mafumbo kwenye maneno yake ambayo wataalamu wetu wa Kiswahili ndio wametufafanulia kisanifu zaidi, Diamond aliandika
“Kileeeeeeee kinaanza kumuharibia mtu Mavazi..”huku akiweka picha yake na mpenzi wake huyo wakitoka kwenye show ya miaka 38 ya CCM huko songea. Baada ya kukaa chini vizuri na wataalamu wetu hawa wa fasihi , walituhakikishia kuwa “Kileeeee” katika sentensi hiyo sio kitu kingine bali ni ujauzito alionao mrembo huyo na mara nyingi ukichunguza ndio kitu kinachomuharibia mwanadada au yoyote mavazi kirahisi hasa “kinapoanza” kuwa kikubwa.Kweli tumeamini lazima ujue tofauti ya msalaba na kujumlisha.
SOURCE:SHAFFIHDAUDA
2 comments:
mfagiliyeni sana bwana mdogo wenu diamond but kaani mkijua kwamba Zarina the bosy lady siyo mjamzito na hawizi kuwa mjamzito hana time ya kulea tena mtoto mchanga akakosa starehe ya kutamba na kula ujana wake kwenye viwanja vya kila pembe ya dunia hii.
huyu zarina,the boss lady ujuye yeye matayo ya juu; yeye yupo just to have a good time hakuna zaidi ya hicho.
na akiwa mjamzito ataitoa tuu bila ya jamaa kujua.habari ndo hiyo.
kwa kweli na wapenda sana wanawake wajanja na wenye kujitambua kama zarina.big up zarina boss lady.
from Uganda.

Post a Comment