ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 2, 2015

JE UNA LA KUSEMA JUU YA HII HAPA CHINI

Jikubali mwenyewe juu ya misemo ya misimamo yako 

2 comments:

Anonymous said...

ujamaa ulikuwwa unawadhibu watu bila mpango wowote ule,eti mtu ukikuwa na sabuni ya lifeboy ni kitu cha thamani sana. na kwa nini msimuweke picha ya sokoine kwa sababu yeye ndo aliyekuwa mtetezi na kulind mali na rasli mali za nchi zisikwapuliwe kiholelaholela.

mzee ruksa alikuwa dhaifu watu walitajirikwa kweli kweli ka kumtumia.

alilenga kumurika wezi wapi na yeye ndo alikuwa kinara wao akikwapua na kula pamoja nao.

na maisha bora kwa nani si kwa wananchi walala hoi ni kwa wao wenyewe kwa wenyewe anaendeleza aliyemuachia nji kukwapuwa kwa saana na kila pembe ya nchi kuuzwa na kila rasli mali.

NOBODY IS PERFECT KILA MMOJA ANAMAPUNGUFU YAKE BUT Sisi wenyewe ndo tunawachagua na wao halfu wanatunza pesa zetu,kodo zetu,wanaingia mikataka kiholela holela kwa niamba yetu kwa vile tumewapigia kura wao.

no wonder tunaona kila mtu anatakakuwa rais ili aje achote mipesa na kuiacha nchi hii mifupa mitupu

na vijana wako busy na ngono na mipombe na mibangi na miiunga inayo wa lostisha na kuwachetua miakili yao hata kufikiri nchi yao na kuwa na uchungu wa nchi yao hawana kazi mingono tu.

ni kosa la nani tujiulize? ni letu kuwapigia kura na kuwachagua wao na wao wakiwa madarakani hata habari hawana wanajenga MIHEKALU YAO NA KUTUNGA KATINGA KATIBA YAO ILI BAADAYE WASIJE WAKAWAJIBISHWAAA.

MCHAGUENI LOWASSA ATAWAFILISI NA KUTAIFISHA MALI ZAO ZOTE.

Anonymous said...

Lowassa all the way