ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 25, 2015

RAIS KIKWETE AWASILI ZAMBIA

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia mara tu alipowasili mapema leo akiambatana na mkewe.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wawasili katika uwanja wa ndege wa kimatIFA wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka Zambia na kupokewa na mwenyeji wa Rais Edgar Lungu wa Zambia leo asubuhi kwa ziara ya kikazi ya siku mbili
Rais Kikwete na Rais Lungu wa Zambia wakipokea heshima ya mizinga 21.

Picha na Freddy Maro

No comments: