Mratibu wa safari nzima ya Yamoto Band Bi. Jestina George (kushoto) akiwatambulisha vijana hao wa kundi la Mkubwa na Wanae kwa Balozi wa Tanzania ncihini Uingereza Mhe. Peter Kalage siku ya Ijumaa Februari 20, 2015 Bi. Jestina George alipowapeleka vijina hao Ubalozini hapo.
Meneja wa Yamoto Band (wapili toka kushoto)akiongea jambo na Mhe. Balozi Peter Kalage.
Mhe. Balozi Peter Kalage akiongea mawili matatu na vijana hao.
Yamoto Band wakiwa na meneja wao wakipata picha ya pamoja na Mhe. Balozi Peter Kalage.
Yamoto Band wakiwa na meneja wao akiwemo mratibu wa safari na onesho zima la band hiyo nchini Uingereza Bi. Jestina George wakipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Balozi Peter Kalage.
Yamoto katika picha ya kumbukumbu Uballzini hapo.
No comments:
Post a Comment