Sherehe za Muungano kuunguruma ndani ya Jiji la wasilolala New York City, April 26 kuanzia saa 12 jioni hadi usiku wa manane. Sherehe hizi zitasimamiwa na viongozi wa Jumuiya ya Watanzaia New York. Kutakuwa na chakula na vinywaji baridi kwa gharama ya Dollar 50 Mtu mmoja na Burudani ya music pamoja na mambo mbalimbali ya kuwafanya watu watakaojitokeza kufurahia siku hii ya kujivunia kwa nchi yetu ya Tanzania na Zanzibar Watanzania wote mnakaribishwa kiroho safi.
Jina la Ukumbi na address yake:
Rich Rich Palace
Rich Rich Palace
11019 Atlantic Avenue Richmond Hill NY. 11418
Wadhamini wa shughuli hii ni:
Gentle Dental Care
(718) 336-3829
Curious On Tanzania | A social traveling platform that offers unique Tanzanian experiences within and outside of Tanzania
Tembaphoto.
AllAfrika Travel and Logistics llc.
And
6 comments:
Milima haiungani, bali watu wanaungana; nchi haziungani bali watu wa nchi hizo wanaungana. Nchi ya Tanganyika na nchi ya nchi ya Zanzibar haziwezi kuungana, bali wanainchi wa Tanzanyika na wanainchi wa Zamzibar wanaweza kuungana kwa sababu wote ni ndugu wa kudumu milelele.
Siku hi tukufu- Muunagno wa Tannganyika na Zanzibar-ni siku ya kuonyesha upendo wetu, ukarimu wetu wa kindugu na maendeleo ya haya mataiafa mawili. Tutoke wote kusherekea siku hii tukufu ya Muungano wetu. Watanzania Hoyee!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tanzania na Zanzibar?
The union between Tanganyika and and Zanzibar exited for centuries until when the Arabs, Indians, part and the Europeans explored the Africa, taking natural resources ant infringed the tread mar and labels of the Africans. Slavery was the main objective and nothing else the colonials celebrated. In all, at the moment, we are celebrating the union of Tanganyika and Zanzibar- the notice is that " we were always a union. The "best peaceful places to be on earth"
Well true Tanganyika and Zanzibar zimeungana but huu muungano till kesho hauna correct definition . Why two governments if we are real united. Until the correct definition is given always this muungano utaleta makwaruzo but hey lets enjoy the celebration as wanao enjoy kiukweli wamelala sasa hivi
Announces said :" Well true Tanganyika zimeoungana but huu muungano till keso hauna correct definition." your argument cold be supported with the following analysis: the current Tanganyika population is apr 44,0000 while the Zanzibar population could be 1,305,000
Population ratio between Tanganyika and Zanzibar = 1395000/44000000
ratio= 0.029
Indeed, the ratio between the two countries is 0.03 which is insignificant and less likely exist a significant definition of the UNION.
However, the political definition of the UNION relationship can be translated to national security, political stability, and social security, social economic development for both Tanganyika and the islands-Zanzibar. With all that said, the advantages could outweigh the disadvantages.
Kwanini mmeweka, jumapili
Post a Comment