Jeneza lililobeba mwili wa Mzee Eddis Mgawe ambaye ni Kamishna mstaafu wa Jeshi la Polisi likiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere siku ya Jumatatu April 6, 2015. Mwili wa marehemu uliondoka Washington, DC siku ya Jumapili April 5, 2015 na watoto wa marehemu akiwemo mama waliondoka Jumamosi April 4, 2015 wote wamefika salama Tanzania na wanazidi kuwashukuruni sana kwa upendo na ukarimu wenu.
Askari wa Jeshi la Polisi wakibeba jeneza lenye mwili wa Mzee Eddis Mgawe kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.
Askari wa Jeshi la Polisi wakibeba jeneza lenye mwili wa Mzee Eddis Mgawe na kuliweka kwenye gari tayari kwa kuondoka uwanjani hapo.
Safari kuelekea nyumbani
No comments:
Post a Comment