ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 6, 2015

TASAF YAWAPATIA "MSHIKO" WA RUZUKU WATU WALIO NA KIPATO CHA UMASKINI WILAYANI KONGWA

Vikongwe hawa wa kijiji cha Mkoka, wilayani Kongwa mkoa wa Dodoma, wanaotoka kwenye kaya masikini ambao wako kwenye mpango wa kupatiwa ruzuku ya mwezi na TASAF, wakisubiri kupatiwa fedha hizo “mshiko” . Mpango huo wa TASAF awamu ya tatu, umewabainisha malofa ni wale waliokwenye umasikini uliopindukia ambao kipato chao ni chini ya dola moja ya Kimarekani kwa siku.
Watu walio kwenye umasikini uliopindukia,  wakiwa kwenye foleni ya kupatiwa ruzuku ya kila mwezi ya shilingi elfu 10, kijiji cha Mkoka wilayani Kongwa mkoani Dodoma
Watu walio kwenye umasikini uliopindukia wakisubiri kupatiwa ruzuku hiyo. 
Picha kwa hisani ya K-VIS Blog

No comments: