AFISA Mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na watoto Pemba Mhe: Mauwa Makame Rajab, akikunjuwa kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji safi na salama huko Kiwani, ulijengwa kwa nguvu za Serikali na kugharimu zaidi ya Milioni 82.
AFISA mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto Pemba Mhe:Mauwa Makame Rajab, akizungusha koki ya maji kuashiria uzinguzi wa mradi wa maji katika shehia ya kiwani, uliojengwa kwa nguvu za Serikali ambapo umegharimu Zaidi ya milioni 82.
AFISA Mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na watoto Pemba Mhe: Mauwa Makame Rajab, akipata maelezo ya mradi wa maji safi na salama huko kiwani, uliojengwa kwa nguvu za Serikali na kugharimu zaidi ya Milioni 82.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)
1 comment:
Duuh! yani sisi wabongo ndo maana hatuendelei. sasa hapa ninauhakika ishakuwa bifu kati ya Temba, Luke, NY Ibra and whoever is calling himself promota. Tujaribu kushirikiana jamani ili tuendelee kwa haraka zaidi. Lakini haya ni mawazo yangu tuu. Thanks to Luke, Temba, and NY Ibra for trying.
Post a Comment