ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 19, 2015

FAMILIA YA NDASHAU WAMUAGA DJ LUKE KWA CHAKULA CHA JIONI HOUSTON, TEXAS


 Familia ya Ndashau ambao ndio waliokuwa wenyeji wa Dj Luke wakila chakula cha jioni ndani ya mgahawa wa Kichina maalum kwa ajili ya kumuaga baa da ya Dj Luke kumaliza kilichomleta Houston alipokuwepo kwa ajili ya Pazi Reunion siku ya Jumamosi March 14, 2015.
 Dj Luke akiwa na familia ya Ndashau siku walipompeleka katika chakula cha jioni ndani ya mgahawa wa Kichina Houston kwa chakula cha pamoja na familia.
 Bwn na Bibi Ndashau ambao ndio waliokuwa wenyeji wa Dj Luke.
 Mjukuu akijinafasi na menyu

No comments: