ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 4, 2015

HARUSI YA EMMANUEL NA HAPPY CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND

Mchungaji Morgan akifungisha ndoa ya Emmanuel na Happy iliyofanyika siku ya Jumamosi April 4, 2015 katika kanisa la kimataifa la Restoration Chapel lililopo Capitol Heights, Maryland nchini Marekani.
Bwana Harusi (kushoto) na mpambe wake wakimsubili kaka wa bi. harusi amkabidhi mke wake mtarajiwa afunge nae ndoa.
Bwana harusi akimlaki Bi harusi baada ya kukabidhiwa na kaka ya bi harusi bwn. Fimbo.
Bwana na Bi harusi wakielekea kufunga ndoa.
 Mchungaji Morgan akiongoa ndoa ya Emmanuel na Happy huku wapambe wao wakishuhudia.
 Bwana harusi akimvisha pete bi harusi
 Bi. harusi akimvisha pete Bwana harusi
Sasa unaweza kumchum Bi. harusi 
ndoa ya Emmanuel na Happy ikiendelea.
Baada ya ndoa yako maharusi wakipata picha ya pamoja na wapambe wao pamoja na wasimamizi.
Picha ya pamoja
Maharusi wakiwasili itakapofanyika sherehe ya harusi yao
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


1 comment:

Anonymous said...

Elegant and classy.
Great colors
Congratulations Happy and Emmanuel.
All the best