

Baadhi ya wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakilibeba jeneza la aliyekuwa
katibu Mkuu Wizara ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi
Zanzibar Marehemu Dkt.Omar Makame Shauri aliyezikwa leo kijijini kwao
Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,Makamo wa
kwanza wa Rais Maalim Seif Sherif na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi (katikati) wakiwa na Viongozi wengine na Wananchi
katika mazishi ya aliyekuwa Katibu Mkuu
Wizara ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi Zanzibar
Marehemu Dkt.Omar Makame Shauri aliyezikwa leo kijijini kwao Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(katikati)akitia udongo kufukia kaburi la aliyekuwa
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi
Zanzibar Marehemu Dkt.Omar Makame Shauri aliyezikwa leo kijijini kwao Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
1 comment:
Inna Lillahi Waina Ilahi Rajiun. May Allah forgive your sins and grant you Jannatu Firdaus. The pictures give us comfort those of us who could no be there. You will be forever in our hearts. May you rest in peace. Your Niece
Post a Comment