Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Katikati) akiwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma, CEO wa TTCL Dr. Kamugisha Kazaura wakiweka sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea
Afisa Mtendaji Mkuu WA Mfuko WA Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na (Kutoka Kushoto) Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia John Mngodo, Mkurugenzi mkuu WA Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania Prof. John Nkoma,Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, (Kutoka Kulia) CEO WA TTCL Dr. Kamugisha Kazaura, mwakilishi kutoka kampuni ya mtandao ya simu za mkononi Airtel Ronald Mitti pamoja na wawakilishi wengine wa mitandao ya simu za mkono pamoja na wafanyakazi wa Mfuko huo.
Afisa Mtendaji Mkuu WA Mfuko WA Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Kulia) akitia sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea mawasiliano vijijini pamoja na CEO WA TTCL Dr. Kamugisha Kazaura.
Afisa Mtendaji Mkuu WA Mfuko WA Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (WA pili kulia) akibidilishana mawazo na Waziri WA Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa baada ya kutia sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea mawasiliano vijijini.
No comments:
Post a Comment