ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 30, 2015

Ng'ari nga'ari ya leo hii hapa Nandy - Najiamini (Video) | Swahili Music

1 comment:

Anonymous said...

vijimambo team wote na dj luke nataka kutoa shukran zangu za dhati kwa kutuwekea habari zote za nyumbani na za kimataifa kwa roho safi na bure shukran sana jamani.mungu akubarikini sana.

jambo la pili ni hili kuna habari huwa zina jirudia rudia sana na clip za video kama hii.ni mzuri ina ujumbe poa but nime chunguza nimeona imejirudia miezi kama miwili hivi iliwekwa hii clip I might be wrong labda mdau kakuomba uiweke tena but nimegudua hilo.na samahani kwa hilo kama nimewakwaza.

ahsanteni sana kwa uzalendo wenu na roho zenu nzuri kwa kutuhabarisha habari za home.