ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 19, 2015

PITA PITA YA VIJIMAMBO ODENTON, MARYLAND

 Mtunza mahesabu wa kamati ya msiba Dr. Secelela Malecela (kati) katika picha ya pamoja na Kelvin William Mbogo (kushoto) ambaye ni mwenyekiti Vijana CCM Mkoa wa Katavi na CEO wa Home Grounds Holdings Limited ikiwemo Active Finance na Active Tours na Gabriel  Munasa ambaye ni mgombea ubunge mtarajiwa jimbo la Kawe. Kelvin Mbogo na Gabrile Munasa wapo nchini Marekani kwa ziara maalum.
Wanakamati ya msiba wakiwa katika picha ya pamoja na wageni wa Lovenes Mamuya wakati walipokua wamealikwa kwa nyama choma iliyoandaliwa na mwenyeji wao nyumbani kwake kwa ajili ya wageni wake Gabriel Munasa na Kelvin Mbogo ambao waliongozana na mwenyeji wao Makiri Jenge CEO wa Mambo Jambo Radio yenye maskani yake jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Ismail Bibagamba, Dr. Secelela Malecela, Ray Abraham, Aziz, Mbunge Mtarajiwa Jimbo la Kawe Gabriel Munasa, Katule, Said Mwamende ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Bi. Loveness Mamuya mratibu wa vyama wa CCM Marekani ambaye pia ni mwanakamati ya msiba, Makiri Jenge na Kelvin Mbogo.

No comments: