ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 19, 2015

Tangazo la Misa - Kuadhimisha Muungano, Capuchin College, April 19, 2015, 2:00 PM

Karibuni Sana Wapendwa Wote

Img3.jpg


Mnakaribishwa sana
kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
Kusheerekea Sikukuu ya Muungano 2015

Ibada itafanyika katika kigango cha

Capuchin College
4121 Harewood Road, NE,
Washington, DC, 20017

Jumapili Tarehe 19 Aprili 2015.
Saa nane kamili mchana (2:00 PM).

Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha
ndugu, marafiki na jamaa zako.

Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya
barua pepe na Wakatoliki DMV anwani.
Tupatie mawasiliano yako kwenda kwa:-



Kwa niaba ya Fr. Leandry Kimario, ni katibu Dani Steven

No comments: