Justa Lujwangana Founder of Curious on Tanzania aliandaa Event iliyoitwa A TASTE OF AFRICAN EVENT SERIES" IN NEW YORK CITY kwa kushirikiana na wa Africa wengine kutoka West Africa kufanikisha Event hiyo.Watu mbalimbali walijitokeza na kupata fursa ya kula chakula kilicho pikwa na James kijana wa Kitanzania mwenye uwezo wa kupika vyakula vya aina mbali mbali vyenye asili ya Tanzania. Licha ya James kulikuwa na wapishi wengine walioleta chakula vyenye asili ya nchi zao.
Hii ni Pilau moja ya vyakula ambavyo Watanzania upenda kula kwenye mikusanyiko ya sherehe na hata kwenye msiba. Licha ya pilau kulikuwa na chapati maandazi, vitumbua hadi kachumbali pia ilikuwepo.
Chakula chenye asili ya Ethiopia kilipatikana pia. Kwa Picha zaidi ya event hii jitiririshe hapa chini.
Kwa kuona picha zaidi unaweza kutumbelea web site ya http://tembaphoto.com/ |
5 comments:
Excellent! I like Justa's work.
Asanteni sana for coming out to represent our homeland. The event was amazing. Chef James Lupembe did an impressive job with the food. Music was great. Karibuni tena at the next event. Thank you Vijimambo for covering us.
huyu James Lupembe anapika vyakula vya kwenye event kwa sh ngapi pliz.. nipigie pliz 9782353247
Post a Comment