ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 7, 2015

USIKOSE!!! Tamasha la Uimbaji kutoka kwa Watoto yatima kutoka Uganda

Save a Date! Weka kwa Kalenda yako! 
Jumanne Mei 12, 2015 Saa moja Kamili Jioni
Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio (IYK) inawakaribisha wote kupata Baraka za Watoto Choir kutoka Uganda! 
Karibu na Mkaribishe Rafiki!!

Kuhusu Watoto Choir! 

Watoto ni mpango kamilifu wa huduma ambao ulianzishwa ili kukabiliana na idadi kubwa ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu nchini Uganda, ambaomaisha yao yamekabiliwa na vita na magonjwa mbalimbaliTembelea tovuti ya Watoto : www.watoto.com 

Kwa Taarifa zaidi wasiliana na Ibada ya Kiswahili-Columbus Ohio

Na Mchungaji Ipyana Mwakabonga 

E-mail: ibadayakiswahili@gmail.com 

Simu: 614-664-9564 or 614-66IYK-OH 



www.iykcolumbus.org

No comments: