Mhe Jenista Mhagama tarehe 21 April 2015 alifanya Ziara ya Kiserikali
katika Bunge la Zambia. Dhumuni ya ziara
hiyo ilikuwa kujifunza taratibu na mambo mbali mbali yanayohusiana na Bunge la
Zambia. Katika ziara hiyo Mhe Waziri aliongozana na Balozi wa Tanzania nchini
Zambia Mhe. Balozi Grace J. Mujuma.
Mhe. Jenista Mhagama na Mhe Balozi Grace Mujuma wakipewa maelezo na
Spika wa Bunge la Zambia Jaji, Dkt. Patrick Matibini (hayupo pichani)
Mhe. Jenista Mhagama na Mhe Balozi Grace Mujuma wakipewa maelezo na Spika wa Bunge la Zambia Jaji, Dkt. Patrick Matibini
Mhe. Jenista Mhagama alipata nafasi ya kuutembelea Ubalozi wa Tanzania Lusaka na kusaini kitabu cha wageni. Mhe Balozi Grace J. Mujuma wakifurahi jambo na Mhe Waziri Jenista Mhagama.
No comments:
Post a Comment