CHANGE OF LOCATION AND TIME,SAMAHANINI KWA USUMBUFU:
Familia ya Geraldine Ngowi na Grace Mlingi wa Silver Spring, MD
inapenda kuwakaribisha wote kwenye Memorial Service Honoring Michael Ndaskoi Mlingi Life.
Michael Mlingi alikuwa baba mzazi wa Grace Mlingi na tulimpoteza this march.
Come and Celebrate Michael's Life on Saturday May 16th 2015 at Saint Edward Roman Catholic Church 901 Poplar Grove St, Baltimore, Maryland 21216
From 5.00pm sharp To 9.00pm
Kama unaswali au unahitaji more information unaweza kupiga simu
1.Justa Mutalemwa Tel no. 301 404 6529
2. Frida Cryor Tel no. 202 368 7149
3. Geraldine Ngowi Tel no .202 531 2254
4. Fofo Madete Tel no. 202-569-2777
5. Tumaini Kaisi- Katule Tel no. 301 433 3411
Tafadhali zingatia muda kwani tuna mass service ambayo lazima ianze ontime. Tafadhali Ukiona tangazo hili mjulishe na mwenzako .
No comments:
Post a Comment