ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 16, 2015

MARIAM KALALA NYANG'ORO AKAMATA NONDO CHUO KIKUU CHA STRAYER, GEORGIA DOME.

Mariam Kalala Nyang;oro akipata picha baada ya kukamata nondo ya Masters of Health Services Administration katika chuo kikuu cha Strayer kilichopo Georgia Dome kaskazini mashariki ya mji wa Atlanta jimbo la Georgia nchini Marekani.
Kutoka kushoto ni dada mkubwa wa Mariam, Alu, baba mzazi wa Mariam, Mzee Yusuf Kalala na Mariam wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Mariam kukamata nondo leo Jumamosi May 16, 2015 katika chuo kikuu cha Strayer kilichopo Georgia Dome kaskazini mashariki ya mji wa Atlanta jimbo la Georgia nchini Marekani.
Kutoka kushoto ni Monica (mtoto wa Mariam), Mzee Yusuf Kalala na Mariam wakipata ukodak moment katika siku hii maalum na kihistoria ya Mariam kukamata nondo ya Masters of Health Services Administration katika chuo kikuu cha Strayer kilichopo Georgia Dome kaskazini mashariki ya mji wa Atlanta jimbo la Georgia nchini Marekani.

5 comments:

Anonymous said...

Mama must be dancing in heaven right now. "You done did it" (in Uncle Keay's voice) Very proud of you my baby sister. Love you mingi. Da Alu

Anonymous said...

Congratulations Mariam on your achievement and just as your Big Sister Alu mentioned above, "You done did it" and we are all very proud of you.

With love from Auntie Joyce Mwombela and The Mwombela family.

Anonymous said...

hivi ndo inavyotakiwa watoto wa kike wana piga kitabu si kushobokea majungu na fitna na kuchonga mdomo na masikio ya upwawa kwa uongo.
big up maryam kalala.all the best

ak said...

Yes my sissy you made it, Congratulations Darling very proud of you, Always in love.Your young sister.Quizellah Ntagazwa

Unknown said...

Asanteni nyote kwa kunipongeza, let it be an inspiration to many because it is never too late.
Mariam