ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 16, 2015

MSIBA DMV NA TANZANIA

Harris MORGAN Enzi ya Uhai wake

Lilian Harris Morgan na Mzee Joel wa Riverdale Md,Wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao Mzee Harris Morgan Shayo Kilichotokea Tarehe 15/5/2015 katika Hospital ya masana Mbezi saa 2.oo usiku.Msiba uko 

6811 Riverdale Rd Apt 102,
Riverdale Md- 20737

kupeana pole na kufarijiana ndio Upendo wetu wana DMV Upatapo Muda usisite kujumuika na wafiwa nyumbani

kwa mawasiliano zaidi - 
Lilian Harris --240 351 3438 
Mzee Joel -- 240 432 7621