Waziri wa Elimu Dkt.Shukuru Kawambwa akitoa tuzo maalum kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake katika kuendeleza na kuboresha elimu nchini wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya elimu yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa maadhimisho ya kilele cha Wiki ya Elimu kitaifa iliyofanyika mjini Dodoma leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia wanafunzi Maria Sagasii na Neema Harry kutoka Shule ya msingi ya Ignatius ya mjini Dodoma wakionyesha viungo vya ndani vya mwili wa binadamu somo la Biolojia katia banda la maonyesho katika Uwanja wa michezi wa Jamhuri wa mjini Dodoma wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Elimu leo(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment