Kuelekea Show ya Uzinduzi wa Jembe Fm Radio ya Jijini Mwanza unaotarajia kufanyika May 23 mwaka huu katika Uwanja wa CCM Kirumba, zaidi ya Wasanii 260 ambao wanafanya style tofauti tofauti za muziki wamejitokeza hii leo katika Usaili kwa ajili ya Kuwania nafasi ya Kupanda jukwaani kutumbuiza katika Uzinduzi huo. Pichani majiaji wakiwa kazini kweye usaili uliofayika jioni hii Jemba Beach jijini Mwaza.
Miongoni Mwa wasanii watakaotumbuiza katika Tamasha la Burudani la Jembeka Festival ni pamoja na Young D, Pam D, Izzo Busness, Yamoto Band, JJ Band, Dogo Janja, Chege, Mr.Blue,Juma Nature, Mo Music, Baraka Da Prince, Diamond Platnumz, H.Baba, Director Shahibu, pamoja wasanii Wengine wengi ambapo Kiingilio itakuwa ni shiling 5,000 na Milango itakuwa wazi kuanzia saa Sita Mchana hadi Majogoo
Mshiriki upande wa ku-Rap Yasinta. |
Sura hii imetinga fainali upade wa kuimba hivyo itamenyana na wenzake tarehe 23 Mei 2015 uwanja wa CCM Kirumba Jembeka Festival. |
Scorpion wamesonga mbele hivyo kuchuana faiali CCM Kirumba Mwanza. |
Angle. |
Makopa nao fainali ileeeeee.......Tukutae CCM Kirumba Mwanza tarehe 23 Mei 2015. |
Another Crew. |
Chop Chop. |
Mashuhuda. |
Majaji wakichekecha \UbongO. |
Tukutane fainali....tarehe 23 Mei 2015 CCM Kirumba kwa kiingilio cha shilingi 5000/= uazama ndani. |
No comments:
Post a Comment