ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 28, 2015

BARAKA BITARIHO NA EDITH MCHOMVU WAMEREMETA




Baraka Betariho na Edith Mchomvu wameremeta baada ya kufunga ndoa ndani ya Chapel Church of Christ Upper Darby, PA. Na kufuatiwa na sherehe ndani ya ukumbi wa St Demetrios Greek Orthodox Church huko huko Philadelphia U.S.A.
 Baraka akipata ukodak na mmoja wawapambe wake kwenye harusi hiyoiliyofanyika Upper  Darby.

Bibi harusi akiwa ng'aring'ari

Bwana harusi na ukodak moment.

Vijana wakismile mbele ya ukodak full kuvunja kabati

Ukishikwa shikamana style ndiyo hii
 kwa taswira zaidi nenda soma zaidi.


No comments: