ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 28, 2015

BARAKA NA EDITH MCHOMVU WAUAGA UKAPELA BYE BYE


BARAKA BITARIHO NA EDITH MCHOMVU WAUAGA UKAPELA NDANI YA KANISA LA CHAPEL CHURCH OF CHRIST. NA KUFUATIWA NA SHEREHE NDANI YA ST DEMETRIOS GREEK ORTHODOX CHURCH HUKO PHILADELPHIA.
BWANA HARUSI NA BI HARUSI WAKIJIANDAA KUKATA CAKE.
BWANA HARUSI NA BIBI HARUSI WAKIPUNGA MIKONO YAO HEWANI KUASHIRIA UKAPELA BYE BYE KIROHO SAFI.
 UKODAKI NA MARAFIKI NDANI YA UKUMBI
MARAFIKI WAKIPATA UKODAK WA KUMBUKUMBU NA BWANA HARUSI KWA PICHA ZAIDI ZITAWAJIA BAADAE KUPITIA HAPA HAPA VIJIMAMBO LIVE BILA CHENGA.

No comments: