Na inaadhimishwa kwa mara ya kwanza tangu UN iitangaze (Nov 18 2014)
Kama upo mikoa ya kusini basi tuungane saa tisa kamili (Afrika Mashariki) sawa na 8:00am EST kwenye Reggae Time ya Pride F.
Nitazungumza na mwanaharakati mTanzania aishiye hapa USA aliyeshiriki mchakato wa miaka kadhaa kupigania siku hii.
Ni kupitia 87.8Fm kwa mikoa ya kusini
Duniani kote kupitia www.878pridefm.com.
Ama kwa mlio Marekani na Canada piga simu (832) 280-0658
Kama una TuneIn app tafuta Pride Fm ama http://tun.in/seTTx
Jumamosi Njema
No comments:
Post a Comment