LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- morning guys kuna wanaotafsiri kwamba namchukia mgombea wao kumbe Mimi ninakata FACTS mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe
so wafuasi wake jifunzeni hoja the FACT is a leading Candidate supposedly hawezi kuogopa Debate infact yeye ndiye aliyetakiwa kupigania Debate ziwe nyingi kusudi Taifa tumuelewe vizuri kwamba Hakuiba Richmond kulikuwa na njama za kutaka cheo chake ndio maana aliwaachia good now asimame kwenye debate atuhakikishie kwamba akipata Uraisi akishambuliwa tena na wanaotaka cheo chake hatajiuzulu kama alivyofanya kwenye Uwaziri Mkuu! hahahah....
Mgombea wenu aidha ana washauri wabovu au yeye mwenyewe ni mburulazzzz maana imagine Rais mtarajiwa anasimama mbele ya wananchi anaotaka kuwaongoza anasema "kama kuna mtu ndani ya CCM hanitaki aondoke" really? huyu akishika Urais kwa kauli shallow kama hii wasiomuunga Mkono watafanya nini si itabidi waondoke Tanzania?...halafu a leading candidate anamsimamisha Mchungaji ambaye ana kashfa za ajabu katika Jamii halafu Mchungaji naye anarudia kauli za Taarabu kwamba "asiyemtaka mgombea yule akale malimao"
Ingekuwa Majuu hii kampeni ingeisha pale pale maana media ingemzika mgombea mzima mzima....now watu wenye AKILI KUBWAZZ tunapojaribu kuwafahamisha hiyo kambi kwamba haya ni makosa makubwa sana kisiasa na ni dalili tosha kuwa mgombea wenu HAFWAI wanaanza kulia lia na personal attacks Mimi ninachambua tu FACTS at the table...narudia tena hiyo kambi aidha INA washauri wabovu au mgombea mwenyewe ni BOGUS cause siku ya kwanza ya kampeni unawaweka mbele Viongozi kama Mama Tibaijuka? So hii ni kambi inayokumbatia mediocres guys kuna wakati Mama Clinton kwenye kampeni ya urais ilibidi amfiche Mumewe baada ya kuropoka South Carolina kuwa Obama alitakiwa kumpikia kahawa na ikaishia kum cost kura za weusi...hiyo kambi mnanisikitisha sana mnaponilalamikia kwa ajili ya umburulazzz wenu wenyewe JIPANGENI mazafantazzz hahaha! - le Mutuz
8 comments:
We LeMutuz pamoja na dingi wako hamko nyuma ya Lowassa hilo linafahamika..Mzee wako na wewe mtakula malimao mengi tu mwaka huu..Lowassa ndiyo chaguo la walio wengi..kama unajua upepo wa kisisasa kitaalamu huwezi kupingana na ukweli kuwa Lowassa anaongoza kura za maoni bongo!!
for first time lemutuz anaongea ameongea ukweli.
Baba yako anajua nani mhusika wa Richmond kwanini mnaogopa kumsema
huyu mgombea wako hauziki hata kwa kumtoa bure.siasa dhaifu hizo
Watangaza NIA, jiepusheni na matumizi mabaya ya ndimi zenu. Ama sivyo zitawazika mungali hai.
Nakubaliana nawe. Lowassa na kampeni yake hamna kitu
Hotuba ya lowasa ni ya utata, pili lowasa ata kama anaongoza kwa maoni ya kutangaza nia aina maslayi yoyote kwa mtanzania, issue ya Richmond akuuijibu kikamilifu na wafuasi walikua woote ni kutokana na makanisa ambayo anafanyaga harambee, la tatu kama kipindi kile alingatuka kabla ya muda kuisha na alikuwa waziri mkuu itakuaje sasa ivi aweze!!, na katika hoja zake ile ya 3 nanukuu.. Watanzania wanataka Raisi atakayeweza kuvumilia na kutatua maslayi ya Mtanzania.. duh!! mdau Espoo
unajua huyu lemutuza mwenye akili ndogo anagombea kuwa mbunge na ndo maana anajitangaza mwenyewe hapa watu wamponde wamsifiye ili mradi kila leo ajulikeni anapenda umaarufu huyu aisee wee acha tu.namuonea huruma sana bora wakuu mtafutiyeni mkee atuliye apoe na akuzwe na mkee.
ni kweli kabisa ili lowassa akubalike mbele ya jamii nilazima aje ajieleze tena zaidi kuhusu hiyo richmond maana ndio kitu inamtia doa. so aje ajisafishe na pengine aelezee kabisaaaa kwamba hiyo ilikuwa ishu ya nani?
Post a Comment