Mkurugenzi wa Miss Africa USA na Miss Cameroon Lady Kate akipata picha ya pamoja na mkurugenzi wa Miss Tanzania USA Ma Winny Casey (kulia) siku Lady Kate alipomtambulisha Ma Winny Casey kwa Balozi wa Cameroon nchini Marekami kwenye hafla ndogo iliyofanyika nyumbani kwa Mhe.Jpseph B. C. Foe Atangana
Mkurugenzi wa Miss Africa USA na Miss Cameroon Lady Kate akiongea machache kwenye hafla hiyo.
Walimbende wa Miss USA Pageant wakimsikiliza mmoja wa waratibu wa mashindano hayo.
H.E. Joseph B. C. Foe Atangana Balozi wa Cameroon nchini Marekani akiongea machache kwenye hafla hiyo fupi.
Picha ya pamoja
1 comment:
Huyu ma winny kama ametambulishwa kwa balozi wa cameroon mbona hayupo ktk picha ya pamoja. Acheni hizo
Post a Comment