ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 28, 2015

NGUO ZA MWEZI MTUKUFU NA EID ZIMEWASILI DMV

Mzigo umeingia dmv from bara Arabu nguo za kila aina za mwezi mtukufu na Eid Karibuni sana piga no 2407066333hakutakuwa na mkopo Asanteni

5 comments:

Anonymous said...

Wabongo tumezoea kukopa na kulipa taaabu. Tegemea kuuza tano nyingi!! Mwenyewe mkopaji..

Anonymous said...

tuwekee picha picha moja moja tuone vizri

Unknown said...

I like the green dress is really pretty. I can wear it for Eid na kwenye mambo ya CCM au vipi? Je credit card inakubalika? Na ni bei gani? Tell us the sizes you have and the colors we can get. Is there buy two get one free?

Anonymous said...

Hio comment ya kwanza unajulikana wazi wewe nani na roho yako uliyopewa mbaya.kwani mie nilivyoenda kununua haya nilikopa?.Bibi huna haya wewe.aibu yako hio

Anonymous said...

dmv kwa mipasho mmh mtafikiri mko bongo.mtu haachi asili yake.mkoo majuu bado na umbeya na roho mbaya na choyo cha rohoo.na mwezi mtukufu wote huu wa ramadhani hamna hata stahaa.